Choose a Bible Adventure

Kuwasaidia wazazi duniani kote ili kuwafunza watoto kuhusu Biblia. Mungu amekupa jukumu kubwa – kuwalea watoto wako katika Njia Zake. Lakini shughuli za maisha zinaweza kufanya hili kuwa gumu. Bible Pathway Adventures iko hapa kukusaidia. Tumebuni hadithi za Biblia za kusisimua ili kuwasaidia watoto wako kujifunza msingi wa imani yao kwa njia ya ubunifu yenye kufurahisha. Kutoka kwa Nuhu hadi kwa Musa hadi Goliatho hadi kwa safari ya mwisho ya Paulo kuelekea Roma, msururu wa hadithi za Bible Pathway Adventures unaelezea Biblia nzima. Ili kusoma hadithi zetu, pakua Furushi la Mwalimu, bonyeza kwenye hadithi iliyo hapo chini.